GET /api/v0.1/hansard/entries/1289017/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1289017,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1289017/?format=api",
"text_counter": 20,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "mpaka tulipofika kwenye hoteli. Kwa sababu ya ukarimu wao, Mwenyezi Mungu awabariki sana. La mwisho, katika harakati zetu, tuliona baadaye kuna manung’uniko fulani ambayo walisema ya kwamba tulienda kule na maji, chakula na kila kitu kutoka hapa Nairobi. Hiyo ndio taratibu ya viongozi wakienda mahali. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate."
}