GET /api/v0.1/hansard/entries/128910/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 128910,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/128910/?format=api",
"text_counter": 285,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Naibu Spika, iko haja ya kuhakikisha kwamba mambo ambayo hatuyawezi, tukubali hatuyawezi na yale ambayo tunaweza kuyaendeleza, tuyaendeleze ili tuokoe taifa hili. Maisha na hatima ya baadaye ya vijana wetu yatatokana na mipango mizuri"
}