GET /api/v0.1/hansard/entries/1289120/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1289120,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1289120/?format=api",
    "text_counter": 123,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "I am sorry I did not hear. Asante, Bw. Spika. Pengine kwa sababu ya ninavyompenda Sen. Kibwana, nitampa lakini sio leo kwa sababu haya ni malalamishi ya muhimu sana. Malalamishi haya yalioletwa ya dhulma iliyofanyiwa watu wa Pumwani ni jambo la kusikitisha. Malalamishi kama haya pia yanapatikana sehemu mbalimbali za nchi yetu ya Kenya ikiwemo Kilifi kama eneo moja ambalo limevamiwa sana na mabwenyenye. Kuna tabia ambazo zimetokea sasa ya kwamba wale matajiri wenye pesa nyingi wananyanyasa maskini wasiojiweza kutoka kwa mashamba yao. Hii tabia imeendelea kwa muda mrefu sana hadi sasa utapata kwamba watu wa Kilifi wengi wanaoishi kule wanaishi bila mashamba yao. Mashamba yamechukuliwa na watu ambao wamekuja hapa Nairobi na kupata ma-"
}