GET /api/v0.1/hansard/entries/1289122/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1289122,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1289122/?format=api",
    "text_counter": 125,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": ". Wamekwenda huko na kufurusha Wagiriama. Wameweka fence, wao ndio wanaotaka kuishi katika ardhi hiyo. Tunasema la. Hatutakubaliana na mpango huu hata kidogo. Hivi sasa imetokea Pumwani. Watu wa Pumwani wameishi hapo kutoka hiyo miaka yote. Wamekuwa wakitunza ardhi hii na waliahidiwa kwamba watapewa ardhi hii. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate."
}