GET /api/v0.1/hansard/entries/1291153/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1291153,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1291153/?format=api",
"text_counter": 63,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Waziri ni kijana mfanyikazi na tunajua yale yote anatenda yote. Kwa barua yake amesema yuko kazi nje ya nchi na amekubali kuja Jumatano ijayo. Saa hizi tunapigana hapa juu ya kitu kidogo lakini tunafaa tuunge mkono ile barua ya Waziri. Bi. Spika wa Muda, pia ninaunga mkono Waziri wa Ulinzi. Amekuwa mfanyi kazi hapa Bungeni na atafanya kazi nzuri ya ulinzi hapa nchini."
}