GET /api/v0.1/hansard/entries/1291258/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1291258,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1291258/?format=api",
    "text_counter": 168,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda kwa nafasi hii. Nashukuru Waziri kwa majibu ambayo ametupa. Kwa mustakabali na uajibikaji wa Serikali na mawaziri katika Baraza la Mawaziri, ni yapi ambayo mlizingitia kuafiki kwamba askari wa nchi ya Kenya watapelekwa Haiti na sio Jeshi letu? La pili, ni mfumo, kanuni ama sheria ipi mtakayotumia kuwachagua ama kuwapata vikosi vya vijana wetu shupavu ambao wataenda kuhudumia nchi hii kwenye nchi ya kigeni, kuhakikisha kwamba malengo ya kimataifa yanaafikiwa?"
}