GET /api/v0.1/hansard/entries/1291472/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1291472,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1291472/?format=api",
"text_counter": 115,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, naomba hoja ifuatayo ya kwamba kikao cha Seneti kiairishwe kwa mujibu wa kanuni za kudumu za Seneti Kipengele cha 37(1) ili kujadili swala mahususi la dharura na muhimu kwa taifa kuhusu ukosefu wa usalama katika nchi yetu haswa mji wa Sondu na katika Kaunti ya Turkana."
}