GET /api/v0.1/hansard/entries/1291656/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1291656,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1291656/?format=api",
"text_counter": 299,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante sana Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi ili nitoe maoni yangu kuhusu Hoja hii. Kwanza nasema ni furaha kubwa sana kwangu leo kuwa mmoja wa wale Maseneta tunaopendekeza Eldoret ipewe kibali cha kuwa Jiji kuu kamili. Mara yangu ya kwanza mimi kuenda Eldoret nilikuwa kijana mdogo sana. Nilikuwa bado shuleni. Miaka hiyo ndugu yangu mkubwa ambaye sasa ni Profesa wa"
}