GET /api/v0.1/hansard/entries/1291658/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1291658,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1291658/?format=api",
"text_counter": 301,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": ", Eric Mungatana, alikuwa mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Moi University, Eldoret. Tulikuwa tunaishi sehemu inaitwa Kapsoya. Nilikuwa nimeenda likizo na nilipendezwa sana na mji huo wa Eldoret. Lakini miaka hizo, barabara nyingi hazikuwa na lami. Zilikuwa ni mchanga. Wakati wa jua, gari likipita ilikuwa ni mchanga na vumbi tupu. Ukiruka miaka kadhaa sasa, tulikuja wakati wa kampeni. Mwisho kwenda huko ni wakati mwenzetu hapa Sen. (Prof) Kamar alituita kwa mambo yake ya nyumbani ya"
}