GET /api/v0.1/hansard/entries/1291679/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1291679,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1291679/?format=api",
    "text_counter": 322,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Naibu Spika, naomba Hoja ifuatayo - KWAMBA kikao cha Seneti kiahirishwe kwa mjibu wa Kanuni ya Kudumu ya Seneti 37(1), ili kujadili suala mahususi la dharura na muhimu kwa taifa kuhusu ukosefu wa usalama katika eneo la Sondu na katika Kaunti ya Turkana."
}