GET /api/v0.1/hansard/entries/1291687/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1291687,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1291687/?format=api",
"text_counter": 330,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Naibu Spika, wakati tulienda uko juzi, tulienda tukatembea. Shida kuu ni usalama. Hata tulipokuwa tumelala ama tunatembea, askari walikuwa pale. Seneti itasaidia kwa njia gani Kaunti ya Turkana? Tunataka kujua kuhusu mambo ya pesa. Kuna wakuu wa Public Accounts"
}