GET /api/v0.1/hansard/entries/1291711/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1291711,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1291711/?format=api",
    "text_counter": 354,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Abdul Haji",
    "speaker_title": "The Temporary Speaker",
    "speaker": null,
    "content": " Waheshimiwa Maseneta, nawajulisha kwamba, kufuatia Kanuni za Kudumu za Seneti 37(6) kila ambaye atachangia kwa Hoja hii atakuwa na dakika tano pekee. Pia, natoa onyo kali, kuwa inafaa tujizuie kutokana na kuchochea vita kutumia matamshi yetu. Tuweze kuongea kwa njia ambayo italeta suluhu. Sen. Murgor, huu muda ni wako."
}