GET /api/v0.1/hansard/entries/1291777/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1291777,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1291777/?format=api",
    "text_counter": 420,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ningependa kupinga mambo ya Sen. Cherarkey. Ni kuchangia alikuwa anachangia lakini sio ati aje kusema mambo ya Prof. Kindiki. Eti anaweza timuliwa kwa sababu ya kutofanya kazi? Katika Serikali ya Kenya Kwanza, tunajua yule Waziri ambaye amefanya kazi vizuri kuliko wale wengine wote ni Prof. Kindiki. Pia inafaa aende aangalie ni nini inaendelea kule."
}