GET /api/v0.1/hansard/entries/1291837/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1291837,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1291837/?format=api",
    "text_counter": 480,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Nimetoka Marsabit na najua uchungu ule mzazi, ndugu, dada au mama ako nao wakati mtu wake ameuwawa. Hapo hakuna kitu cha kucheka. Haya ni maneno yanaoumiza watu wengi sana. Wiki mbili zilizopita, nilienda na timu ya maridhiano mahali panaitwa Baragoi. Watu wengi wameuwawa hapo. Wenyeji Baragoi walisimama wakasema wamepoteza watu wengi sana, lakini tangu Mhe. Rais Ruto aingie mamlakani, wamepata nafuu."
}