GET /api/v0.1/hansard/entries/1291851/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1291851,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1291851/?format=api",
"text_counter": 494,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Kimeru huko ndani na Kikuyu kwa umbali wakisema kwamba kila mahali watu wote ni wetu. Tunapoongea na kuzungumzia Taarifa hii, tujue ya kwamba tulicho nayo moyoni sasa kama mimi nikiwa ni kiongozi, kuna kiongozi wa sehemu ile pia aliye na chake cha kusema. Kwa hivyo, tukiongea tuchunge tusiongee maneno ambayo yanaweza kuchochea chuki zaidi na kuleta maafa mengi. Asante sana, Bw. Spika wa Muda."
}