GET /api/v0.1/hansard/entries/1291931/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1291931,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1291931/?format=api",
"text_counter": 49,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Cheruiyot",
"speaker_title": "The Senate Majority Leader",
"speaker": {
"id": 13165,
"legal_name": "Aaron Kipkirui Cheruiyot",
"slug": "aaron-cheruiyot"
},
"content": " Utaniwia radhi Bw. Spika. Haikuwa ni nia yangu kumkatiza mwenzangu, rafiki yangu Seneta wa Bungoma wakati ambapo anatoa mchango wake hasa katika lugha ya Kiswahili. Alikuwa anajieleza vizuri na nilikuwa na furahia. Hata hivyo, kuna tabia ambayo yeye ameanza kuzoea na ninaona akiwachiliwa kuendelea nayo, atazidi. Wakati tulikuwa hapa mchana kabla ya sisi kuchukua likizo ili The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate."
}