GET /api/v0.1/hansard/entries/1291933/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1291933,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1291933/?format=api",
"text_counter": 51,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kingi",
"speaker_title": "The Speaker",
"speaker": null,
"content": " Sen. Wafula, ni kweli kwamba ile hoja ya nidhamu ambayo imepeanwa na Seneta wa Kericho inastahili. Kwa hivyo, nitakusihi unapozungumza, mwanzo ufafanue wale wabaya na mafarisayo ambao wako hapa ni akina nani haswa. Pengine ikiwa wale mafarisayo na wabaya hawako, basi itabidi uondoshe matamshi hayo katika kumbukumbu."
}