GET /api/v0.1/hansard/entries/1291961/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1291961,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1291961/?format=api",
"text_counter": 79,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": ", watu wakichaguliwa lazima tuangalie. Hii ni kwa sababu, kama tunaangalia mambo ya pesa, hata kwa kaunti ni mambo ya pesa. Ili sisi tuheshimike, inapaswa tujue huyu ni mtu wa aina gani. Hata iwe kwamba mtu yule amefanya kampeni na amechaguliwa, aangaliwe kwa mda wa miaka tatu ili kujua kama ako na akili timamu. Tumeona watu wengine hata kwa Senate wakiwa na madharau. Unapata hata"
}