GET /api/v0.1/hansard/entries/1291963/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1291963,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1291963/?format=api",
    "text_counter": 81,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "inaaibika. Kwa hivyo, vile Senate inavyoaibika, ndivyo MCAs wanaibikia. Hii ni kwa sababu mtu anateuliwa kwa sababu zisizoeleweka; sijui ni mnono, ni mfupi au ako namna gani. Hayo yote lazima yakome. Hata hapa kwenye Seneti, tumeona inagawanyika kwa sababu ya kitu kimoja. Utapata kuna mtu hawezi kuheshimu wafanyikazi au mfanyikazi hawezi kuheshimu Seneta aliyechaguliwa. Naunga mkono lakini mambo mengi yaangaliwe. Pia, kabla mtu kuteuliwa, apelekwe hospitali achunguzwe kama anatumia dawa za kulevya."
}