GET /api/v0.1/hansard/entries/1292055/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1292055,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1292055/?format=api",
"text_counter": 173,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda kwa nafasi uliyonipa kuchangia kwenye Kauli ambazo zimesomwa na Maseneta tofauti. Ya kwanza ni Kauli ya Sen. Ogola ambayo aliuliza Kamati ya Leba na Ustawi wa Jamii kuhusu yanayotukia Kakuma Ranch. Wananchi wanahamasishwa kuendeleza usagaji na ushoga. Ni jambo la kutamausha kusikia kwamba kuna watu nchini kwenye"
}