GET /api/v0.1/hansard/entries/1292072/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1292072,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1292072/?format=api",
    "text_counter": 190,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante Bw. Spika wa Muda. Naunga mkono Sen. Chesang. Mimi ni Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo. Ningeomba mambo ya mbegu za kupanda iangaliwe. Kwa mfano, hakuna mbegu katika sehemu ya Mt. Kenya. Kwa hivyo, Kenya Seed Company Limited ichunguze ni nini inafanyika. Tunataka bei ya unga irudi chini. Sasa tunangoja mvua. Tumepokea"
}