GET /api/v0.1/hansard/entries/1292074/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1292074,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1292074/?format=api",
    "text_counter": 192,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "kwa bei ya chini vijijini lakini shida ni kuwa hakuna mbegu za kupanda kama vile mahindi na mimea ingine. Naomba Serikali iangalie kunavyoendelea kwa sababu mvua iko karibu kunyesha. Pili, naunga mkono Sen. Nyamu kuhusiana na ugonjwa wa saratani. Tunajua kuwa ugonjwa huu hautambui maskini au tajiri. Naomba uchunguzi ufanywe ili ugonjwa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate."
}