GET /api/v0.1/hansard/entries/129335/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 129335,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129335/?format=api",
"text_counter": 277,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kambi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 39,
"legal_name": "Samuel Kazungu Kambi",
"slug": "samuel-kambi"
},
"content": "Kazi kubwa ya mhe. Mbunge ni kuwakilisha watu wake hapa Bungeni na nje ya Bunge hili. Ukija hapa Bungeni, ni lazima uchukue mambo yanayoendelea hapa na kwenda kuyajadili na watu wako wakati wa likizo. Ni kutokana na majadiliano hayo ambapo tutapitisha sheria za kuwasaidia wananchi wa nchi hii. Ikiwa tutaendelea kuketi hapa bila kwenda mashinani, hapa Bungeni tutakuwa tunawakilisha akina nani? Hoja tuliyonao hapa ni kuhusu likizo."
}