GET /api/v0.1/hansard/entries/129340/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 129340,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129340/?format=api",
"text_counter": 282,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kambi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 39,
"legal_name": "Samuel Kazungu Kambi",
"slug": "samuel-kambi"
},
"content": "Bw. Naibu wa Spika, kwenda mashinani kila wiki si kusema ya kuwa unafanya majadiliano nao kuhusu mambo muhimu yanayowahusu. Hoja ya leo ni kuhusu likizo. Kama mhe. Mbunge anataka sisi tumjadili Jaji Ringera, basi alete Hoja maalum juu yake. Wakati huu tunajadili mjadala wa kwenda nyumbani. Kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja hii."
}