GET /api/v0.1/hansard/entries/129357/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 129357,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129357/?format=api",
    "text_counter": 299,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Pia, itakuwa ni shida kwa nchi hii kama vile Bw. Spika alivyosema, lazima tufikirie mambo ya baadaye. Hata kama makosa yamefanyika, si sawa kufunga Serikali mkono kutofanya kazi vile ambavyo inatarajiwa kufanya. Kuna nafasi! Hii likizo tukienda hatuendi hadi milele; tutaenda na tutarudi na kama kuna makosa, yatarekebishwa. Kwa hivyo, ninaunga mkono mjadala huu na nashukuru Wabunge kwa kunisikiza sana. Naona wanataka kwenda kuombea mvua!"
}