GET /api/v0.1/hansard/entries/129411/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 129411,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129411/?format=api",
"text_counter": 353,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Ahsante sana Bw. Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii ili nichangie Hoja hii. Kati ya waliozungumza mbele yangu, hakuna aliyesema kwamba uteuzi wa Jaji Ringera unafaa. Hata hivyo, jambo muhimu ni kwamba Hoja iliyo mbele yetu inahusu likizo yetu baada ya kuketi hapa Bungeni kwa muda wa siku kadhaa. Sasa, tunatakiwa kuchukua likizo twende nyumbani ili tuweze kuwatumikia wananchi."
}