GET /api/v0.1/hansard/entries/129413/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 129413,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129413/?format=api",
    "text_counter": 355,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Naibu wa Spika, maombi yangu ni kwamba tusije tukayachanganya mambo hayo mawili. Ni dhahiri kwamba Bunge hili liliweza kupitisha Hoja ya kutokuwa na imani na watu fulani, au jambo fulani. Kwa hivyo, ninachangia kwa kusema kwamba kama Bunge linaonelea kwamba uteuzi huu haufai, basi tuulete mjadala huu Bungeni kwa njia ya kipekee ili tuweze kupiga kura ya kutokuwa na imani na Bw. Ringera."
}