GET /api/v0.1/hansard/entries/129414/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 129414,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129414/?format=api",
"text_counter": 356,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Huu ni wakati wa kurudi kule tulikochaguliwa ili tuweze kuchangia yale mambo ambayo wananchi wanataka tuwafanyie. Sasa tunataka kuchukua pesa za CDF zilizotolewa twende tukajenge shule, tuwatafutie watu maji na kuwapatia kila kitu ambacho wanataka. Kukaa hapa na kuzungumza tu hakutabadilisha cho chote. Hata tukizungumza, tutakachotoa ni kura ya kutokuwa na imani. Haimaanishi kwamba tukiitoa leo kura hiyo, au jana, itabadilisha cho chote. Tunaweza kusema kwamba hatumtaki mtu fulani---"
}