GET /api/v0.1/hansard/entries/129416/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 129416,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129416/?format=api",
"text_counter": 358,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Bw. Naibu wa Spika, nimesema kwamba hata tukipitisha kura ya kutokuwa na imani leo, au jana, bado itakuwa tumepitisha tu hiyo kura. Ninasema kwamba tuchukue likizo twende tukawafanyie kazi watu waliotuchagua, na tuangalie shida zao. Tumezungumza hapa. Sasa ni wakati wa kwenda mashinani na kuwafanyia wanachi kazi. Tukirudi hapa, tulete Hoja ya kutokuwa ba imani na Bw. Ringera, tuichangie na kuipitisha."
}