GET /api/v0.1/hansard/entries/129417/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 129417,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129417/?format=api",
"text_counter": 359,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Bw. Naibu wa Spika, hata hivyo, kazi ya Bw. Ringera imewekewa vikwazo na viongozi wenyewe. Hakuna mwizi anayekamatwa katika nchi hii ukose kuona wawakilishi wa watu katika Bunge hili katika stesheni za polisi wakijaribu kumtoa. Kama hawamtoi mwizi kupitia muungano wa kisiasa, wanamtoa kupitia misingi ya kikabila, wakisema: âHuyu ni mtu wetu. Hapaswi kulaumiwa.â"
}