GET /api/v0.1/hansard/entries/129418/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 129418,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129418/?format=api",
"text_counter": 360,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Kama Bw. Ringera angekuwa anafanya kazi katika nchi ambayo inampa uhuru wa kufanya hivyo, na viongozi wanaoamini kwamba wezi ni lazima wakamatwe, hangekuwa na shida. Lakini mwizi akimatwa, viongozi fulani husema: âTunatoa mwito Kamishna wa Polisi afutwe na waliokuweko mbeleni wafutwe.â Hii ni kwa sababu sisi wenyewe hatutaki kutii sheria lakini tunataka kumuandama mtu mmoja kwa misingi ya kikabila."
}