GET /api/v0.1/hansard/entries/129419/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 129419,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129419/?format=api",
    "text_counter": 361,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Ni wezi wangapi walioko katika Serikali na ambao hawajazungumziwa? Haifai kuleta jina la Mkenya hapa na kulikandakanda kwa maneno machafu kwa sababu amepata nafasi ya ajira. Kama ni hivyo, tuangalie nyuma na kuwatoa wezi wote Serikalini kwa sababu tunawafahamu, na wako kwenye madaraka. Waliotoka wameiba na mali yao inajulikana. Wanatembea nayo na hakuna mtu anayewahusisha na uhalifu. Leo hii, hakuna mtu anayetaka kubanduka kutoka kwa Msitu wa Mau. Tumeweka siasa za kikabila na kila kitu."
}