GET /api/v0.1/hansard/entries/1294372/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1294372,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1294372/?format=api",
"text_counter": 176,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Nimesimama kuunga mkono Mswada huu. Ni kwa sababu sisi watu wa mashambani tulikuwa tunapitia mambo magumu sana hapo awali. Ukienda kwa daktari, hauitwi jina lako bali unaitwa kulingana na ugonjwa wako. Kuna magonjwa mengine ambayo hayafai kutajwa. Mswada huu---"
}