GET /api/v0.1/hansard/entries/1294379/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1294379,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1294379/?format=api",
"text_counter": 183,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Katika enzi hizi, ukienda kwa daktari unaandikiwa madawa na ugonjwa wako kwa karatasi ambayo huenda utembee na ikatapakaa kila mahali. Ninadhani umefika wakati ambapo data ya mgonjwa inapaswa kuhifadhiwa kwa njia inayofaa. Sio lazima kila mtu ajue unagonjeka wapi, hususan wakati huu ambapo kuna magonjwa mengi ambayo yanaleta unyanyapaa. Unaenda kutafuta kazi, stakabadhi zako zilionekana huko ilhali unaugua ugonjwa kama wa mnyama, kisha unaelezwa hayo yote. Mwishowe, unabaguliwa."
}