GET /api/v0.1/hansard/entries/1294381/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1294381,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1294381/?format=api",
    "text_counter": 185,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Nikimalizia, hata nchi ambazo zimeendelea zaidi zinatumia teknolojia ya kisasa. Wagonjwa wanatibiwa na daktari aliye mbali kabisa kwa sababu yule daktari ambaye yuko karibu, anapewa muongozo. Kwa hivyo, itapunguza gharama ya kusafiri hadi nchi za mbali kama India. Daktari atakuhudumia hata ukiwa tu hapa nchini. Ninaunga mkono. Sidhani kamwe kutakuwa na shida wakati Mswada huu utapita. Ninasema hivi kwa sababu hata Serikali ya kitaifa iko na vitambulisho vyetu. Hayo haimaanishi kwamba hatuwezi kutumia vitambulisho vyetu na stakabadhi katika kaunti zetu. Ni vizuri kuunga Mswada huu mkono ili tupige hatua katika nyanja za matibabu."
}