GET /api/v0.1/hansard/entries/1294406/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1294406,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1294406/?format=api",
"text_counter": 210,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Nataka kuungana na wenzangu ili kuunga mkono Mswada huu. Kwa kweli teknolojia iko nasi sasa. Hatuwezi kuiepuka. Ndio maana nasimama kuunga mkono Mswada huu kwa sababu ukipita, wagonjwa wetu watapata afueni. Sehemu nyingi vijijini kama Rumuruti, Dodo na Kimanju katika Kaunti ya Laikipia zina wagonjwa ambao wanafaa kuja hospitali zilizo Kaunti ya Nairobi. Tukitumia mitambo hii ya kidijitali, daktari katika zile sehemu ataweza kufauatilia vizuri"
}