GET /api/v0.1/hansard/entries/1294774/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1294774,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1294774/?format=api",
    "text_counter": 140,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Kwa maswali ya ziada, nitauliza maswali mawili tu. Waziri, mnamo Mwezi wa Februari mwaka huu, kuna ndugu wawili ambao waliuawawa kinyama pale na ukaleta taarifa katika hili Bunge. Kutoka wakati huo hatujasikia kulifanyika vipi. Kwa hivyo, swali langu ni, je, wale ndugu wa damu waliouliwa, uchunguzi umefika wapi kwa sababu hatujasikia kutoka Februari kuhusu mambo ambayo yanafanyika? Swali la mwisho, kwa sababu sitaki kukuuliza kuhusu mambo ya wizi wa ng’ombe ambao unaendelea Kirinyaga; kuna jambo lilifanyika kule Kirinyaga kuhusu kiongozi mwanamke wa Bunge la Kaunti ya Kirinyaga. Mwanamke huyo alishambuliwa na watu wanaojulikana na wengine ni wafanyikazi katika Kaunti ya Kirinyaga, kama"
}