GET /api/v0.1/hansard/entries/1294776/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1294776,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1294776/?format=api",
    "text_counter": 142,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "polisi wa manispa. Hata hivyo, kutoka siku hiyo, wale watu bado wanazurura kule na wanawakejeli viongozi kule. Katika uchunguzi wa yale maneno kwa sababu ni mambo ya aibu, umefika wapi na tunatarajia lini kwamba hatua itachukuliwa dhidi ya wale watu? Asante, Bw. Spika wa Muda."
}