GET /api/v0.1/hansard/entries/129523/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 129523,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129523/?format=api",
    "text_counter": 465,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Nilikuwa ninafikiri kwamba tunakataa kwenda likizo na kumbe Jaji ambaye anaitwa Ringera ambaye hata simjui ndiye anayeleta taabu hii yote. Ningependa kuwaeleza wenzangu kwamba Wakenya katika kila pembe ya nchi wako na shida nyingi sana. Ingefaa kama tungeangalia shida hizo vile tunavyoangalia mambo yanayomhusu Jaji Ringera. Ingefaa kama tungeyaangalia matatizo ya Wakenya vile tunavyoongea sasa hizi."
}