GET /api/v0.1/hansard/entries/129524/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 129524,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129524/?format=api",
    "text_counter": 466,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Naibu Spika, je, Jaji Ringera ni Mkenya, Mtanzania au Mganda? Nauliza hivyo kwa sababu ikiwa yeye ni Mkenya, kwa nini tunaongea masaa matano juu yake na kuna sheria ambayo inaweza kufuatwa ikiwa kuna shida?"
}