GET /api/v0.1/hansard/entries/129551/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 129551,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129551/?format=api",
"text_counter": 493,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, nashukuru kwa kunipa nafasi hii ili nikosoe wenzangu ambao wamejibana hapo wakisema kuwa wanaunga mkono Hoja hii. Kwa maoni yangu, ni ufidhuli. Hawa ndugu zangu hawatoi hisia zao za ukweli. Jana katika shughuli zetu za kikao cha Bunge, tulikubaliana kuwa Waziri wa Haki, Maridhiano ya Kitaifa na Maswala ya Katiba atakuja hapa ili afafanulie Bunge kwa uwazi na kwa undani yale ambayo wamekubaliana na Mheshimiwa Rais. Lakini hayuko hapa."
}