GET /api/v0.1/hansard/entries/129553/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 129553,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129553/?format=api",
"text_counter": 495,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Inamaanisha nini? Inamaanisha kwamba mna mambo ambayo yanafichwa na hayapo wazi. Naomba kama Wabunge ambao tunaheshimika, tukiwa tunakaa katika Bunge hili, tuelezane uwazi. Ni nini kinafichwa? Ni nini kimetokea ndiposa lazima twende nyumbani kesho? Kwani tukikaa tujadiliane yale ambayo ni ya muhimu, ni jambo gani litakalotokea?"
}