GET /api/v0.1/hansard/entries/129680/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 129680,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129680/?format=api",
    "text_counter": 68,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Leshomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Bw. Spika, naomba kumuuliza Waziri wa Afya ya Uma na Usafi Swali maalum lifuatalo. (a) Je, Waziri ana habari kuhusu kuzuka kwa ugonjwa wa uvimbe wa tando za uti wa mgongo (yaani Meningitis) Wilayani Samburu,ambapo katika wiki tatu zilizopita umesababisha vifo vya watu watatu? (b) Ni hatua gani za dharura Serikali imechukua kukabiliana na ugonjwa huu?"
}