GET /api/v0.1/hansard/entries/129685/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 129685,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129685/?format=api",
"text_counter": 73,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Gesami",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 19,
"legal_name": "James Ondicho Gesami",
"slug": "james-gesami"
},
"content": "Bw. Spika, tayari nimekubali kuwa watu watatu wamekufa kutokana na ugonjwa huu wa tando za uti wa mgongo. Watu hawa walikufa kutokana na ugonjwa wa meningococcal meningitis ambao unashika mtu moja hadi mwingine. Watu hawa waliokufa walikuwa na kinga chache mwilini. Ninakubaliana na mhe. Leshoomo watu watatu walikufa lakini si kwa sababu ya meningococcal meningitis . Sisi tumeweka mikakati ya kuhakikisha ugonjwa huu hauenei katika Wilaya ya Samburu."
}