GET /api/v0.1/hansard/entries/129688/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 129688,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129688/?format=api",
"text_counter": 76,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Bw. Spika, nimeshangaa sana kusikia ya kwamba walikufa kutokana na UKIMWI. UKIMWI ni tofauti sana na ugonjwa wa meningitis .Ni aibu kuona ya kwamba hospitali ya Serikali inashindwa kusema kilichosababisha vifo hivyo. Kijana Lambushona alipimwa katika Wamba Mission Hospital na kugunduliwa kuwa alikuwa anaugua meningitis . Ni hatua gani atachukua kuwasaidia watu wetu? Je, wana mipango gani ya kuwaajiri madaktari wengi?"
}