GET /api/v0.1/hansard/entries/1299356/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1299356,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1299356/?format=api",
"text_counter": 177,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "kutoka Murangá, Joe Nyutu ni mweredi katika kazi yake na ako kwa shuguli za kiserikali, ndio maana hayuko na sisi hapa. Pia nawaambia ya kwamba, wamekuja siku nzuri wakati kuna taarifa nyingi na kwa hivyo, watasoma kutoka Seneti. Wakikaa kidogo, wataona kuna Mswada umeletwa na Sen. Kavindu Muthama kuhusu mambo yaliyotendeka Mavoko. Najua wataelewa maneno mengi yanavyoendelezwa katika Seneti yetu. Nashukuru na nawakaribisha."
}