GET /api/v0.1/hansard/entries/1299730/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1299730,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1299730/?format=api",
    "text_counter": 192,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "wa mtihani au njia za kupita mtihani ambazo hazifai, ni lazima mambo ya walimu yaangaliwe. Kila mwaka, kuna mtihani wa kitaifa wa shule ya sekondari na ya msingi na walimu wanahusihwa katika kusahihisha karatasi za wanafunzi. Tatizo ni kwamba walimu hao hawalipwi pesa zao. Kwa hivyo, ninaomba wakienda kuangalia mambo ya walimu, waweze kuangalia vizuri jinsi walimu watalipwa na Kenya National Examination Council (KNEC), kila waendapo kusahihisha mitihani. Kamati ya Elimu ichunguze mambo ya walimu kabisa. Asante."
}