GET /api/v0.1/hansard/entries/1299756/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1299756,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1299756/?format=api",
    "text_counter": 218,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante Bw. Naibu Spika. Naunga mkono Kauli ya Kiongozi wa Walio Wengi katika Seneti na kumpongeza Rais, kwa kutia sahihi Miswada kadhaa ili iwe sheria, ndio nchi ya Kenya ichangamkie maswala ya afya. Nchi haiwezi kuendelea mbele bila watu kuwa na afya njema. Naunga mkono Kauli hii na kumpongeza Mratibu wa walio Wengi, Sen. (Dr.) Khalwale, kwa kazi nzuri aliyofanya kutuleta pamoja na kupiga kura ili Miswada hii ipitishwe. Nawapongeza Kiongozi wa Walio Wachache na Kiongozi wa Walio Wengi Sen. Cheruiyot. Kwenye Kauli hii ningependa kupongeza Wenyekiti wa Kamati kadhaa ambao wamefanya kazi nzuri. Kuna maombi mengi yamepelekwa kwenye Kamati hizi. Mwenyekiti ambaye amechangamkia kazi yake sana ni Sen. Methu, Senator wa Kaunti ya Nyandarua. Ameshughulikia maswala ya ardhi vilivyo. Nampongeza Rais kwa kazi nzuri ambayo amefanya."
}