GET /api/v0.1/hansard/entries/1301/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1301,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1301/?format=api",
    "text_counter": 291,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 398,
        "legal_name": "Yusuf Hassan Abdi",
        "slug": "yusuf-hassan-abdi"
    },
    "content": "Kupitia kwa vitendo vyake, Serikali inatumia uwezo wake kuwakandamiza, kuwakanyaga na kuwaumiza zaidi wakaazi wa vitongoji hivi vya Nairobi. Nyumba nyingi zilibomolewa katika maeneo mengi na watu wengi kuwachwa bila makao. Sasa watu hawa ni maskini zaidi kuliko vile walivyokuwa kabla ya ubomoaji huu kufanyika."
}