GET /api/v0.1/hansard/entries/1304380/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1304380,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1304380/?format=api",
    "text_counter": 243,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "umekula miraa na dawa za kulevya. Nyamaza ili niweze kuzungumza mambo ya kusaidia watu wa Meru. Wabunge 59 walikubaliana kumtimua gavana kwa sababu alishindwa na kazi yake. Gavana ni mama au ni mwanaume, lazima tuangalie vile---"
}